Uhakiki.
Uaminifu.
Umoja.
Mfumo rasmi wa uhakiki wa uanachama wa UMKKT. Scan QR Code yoyote ya kitambulisho cha mwanachama kupata taarifa kamili na za kweli.
Hakiki Uanachama
Thibitisha ukweli wa kitambulisho cha mwanachama wowote wa UMKKT kwa sekunde chache.
Hakiki sasaTafuta Kanisa
Pata kanisa la UMKKT karibu nawe kwa kuchagua mkoa, wilaya, au kanda yako.
Tafuta kanisaWasiliana Nasi
Pata mawasiliano ya viongozi wa kitaifa na wa kanda yako kwa msaada wowote.
Mawasiliano"Twajengana katika
imani na umoja."
Karibuni katika mfumo rasmi wa UMKKT. Umoja wetu umejengwa juu ya misingi imara ya imani, uwazi, na ushirikiano wa kweli kati ya makanisa yetu yote nchini Tanzania.
Mfumo huu wa kidijitali ni hatua muhimu katika kuhakikisha kwamba taarifa za wanachama wetu ni salama, zinapatikana, na zinaweza kuthibitishwa kwa urahisi na muda wowote.
Je, kanisa lako liko kwenye mfumo?
Pakua fomu ya usajili na uwasiliane na ofisi ya UMKKT kwa mkoa wako.